Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Japo mim ni shabiki wa cr7 ila Maradona hakutakiwa kumkosea heshima mess kama kweli katamka maneno ayo. Mafanikio aliyo yapata akiwa na Argentina yasi mtie kibur Diego. Mess ni kama mtotowake.Maradona amenukuliwa akisema kuwa , Messi ni mchezaji mzur sana. Lakini si kiongozi kwa maana ya kwamba hawezi ongoza wenzie. Anasema ni vigumu kumfanya kiongozi mtu ambaye kabla ya mechi anaenda msalani mara 20.
Hatujui anaenda kufanya nini. Kama ni kupooh, kukojoa,kucheza pool au kujitizama kwenye kioo...
Si maneno yangu ni ya mkongwe Diego Armando Maradonna. Mchawi wa mpira toka Argentina. Ambaye hatowasahau Cameroon ile ya akina Makanacky, Roger Miller, Emmaniel Kunde n.k
[emoji23][emoji23] hahaha kwel kabisaHili jamaa ngada zimeshaharibu oblangata
Japo mim ni shabiki wa cr7 ila Maradona hakutakiwa kumkosea heshima mess kama kweli katamka maneno ayo. Mafanikio aliyo yapata akiwa na Argentina yasi mtie kibur Diego. Mess ni kama mtotowake.
Maradona uwa anataka Argentina kumtukuza yeye na si Messi kama mwanasoka bora nchini humuIla jamaa inaonekana ana bifu sana na Messi.
Maradona uwa anataka Argentina kumtukuza yeye na si Messi kama mwanasoka bora nchini humu
Ila jamaa inaonekana ana bifu sana na Messi.
Hili jamaa ngada zimeshaharibu oblangata
Japo mim ni shabiki wa cr7 ila Maradona hakutakiwa kumkosea heshima mess kama kweli katamka maneno ayo. Mafanikio aliyo yapata akiwa na Argentina yasi mtie kibur Diego. Mess ni kama mtotowake.
Ngada imemharibu huyo babu
Wivu unamsumbua. Na vile messi kapewa jina la king na sio yeye hapo inamuuma sana
Maradona uwa anataka Argentina kumtukuza yeye na si Messi kama mwanasoka bora nchini humu
Wivu unamsumbua. Na vile messi kapewa jina la king na sio yeye hapo inamuuma sana
Diego anamheshimu Kun Aguero pekee. Alioa mwanaye na akamtema. Heshima moja kwa moja. Wengine wote anawaona mafala tu.Maradona amenukuliwa akisema kuwa , Messi ni mchezaji mzur sana. Lakini si kiongozi kwa maana ya kwamba hawezi ongoza wenzie. Anasema ni vigumu kumfanya kiongozi mtu ambaye kabla ya mechi anaenda msalani mara 20.