Nimekosa la kusema hapa
mistake .....................ok..................Basi usingeandika chochote
mistake .....................ok..................
Jamani.....ok.......then delete.........ok...........
Jamani.....ok....
....what........ok
You are mean....ok.....

You got that right. I am the dean of mean. The lean and mean scoring machine......ok...........

We Mage acha ukorofi wako...
Aseee Meku hebu acha kujifanya unajua sana watu eeeh.....umeenda gym leo?
Hebu na tujadiri hili.mtu unatafuta mpenzi kupitia gazeti au mtandao.bahati nzuri anaandikiwa na watu tuseme 20.wote anaamua kuwatafuta.je hata kama atapata mmoja wa kumfaa, mnadhani ataacha kuwasiliana na hao wengine ambao aliamua kuwasiliana nao na hivyo kupeleekea kuwa na mahusiano nao kimapenzi?.

Aseee Meku hebu acha kujifanya unajua sana watu eeeh.....umeenda gym leo?

Hahahahahah nilitegemea tusi hapa nkwa vile nakujua ulivyo. Anyway tuchat kwenye BBM acha kuwaambia watu wa delete. Pia sikupati kwenye BBM siku hizi. What's up?