Marafiki muhimu wa binadamu wako wawili, watunze na kuwaheshimu

Marafiki muhimu wa binadamu wako wawili, watunze na kuwaheshimu

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
mwanadamu hapa dunia anao marafiki wa wili tu ambao bila kuwa nao huwezi uakaishi;

Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu: huyu ndiye aliyetuumba wote sisi wanandamu tena kwa mfanon wake na kwa sura yake. Ametumpendelea kwa kila kitu, kama tungemtii mpango wake ulikuwa kwamba tuishi hapa duniani kwa furaha ya ajabu sana. Tunakula na kunywa kutoka vitu vile alivyoviumba, yeye ndiye atupaye uzima na uhai. Yatupasa kumpenda, kumtii, kumtukuza na kumheshimu.

Pia soma: Siri za Mafanikio

Rafiki wa pili ni mimea, miti, nyasi nk
Vinatupatia oxygen na pia inatutibu maradhi mabli mbali, bila oxygen huwezi kuishi. Ndiyo maana wanasayansi wametafuta sehemu nyengine panakopatina uhai ili mwanadamu aweze kuishi humo mpaka sasa hawajapata kwa sababu hakuna sayari yengine yenye miti yakuweza kutoa oxygen.

Kwa hiyo, uonapo mti au mmea wowote ujuage umemwona rafiki kipenzi ambaye humlipi, na hawezi kukuacha, kwa namna hii hatuna budi kuitunza miti na mito.
 
💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵💵💴💴💴💴💴💴💴💴💴💴💴💴💴
 
Jitafutie marafiki walio binadamu au wanyama halisi wanaoweza kukusaidia katika shida zako badala ya kuwa na marafiki wa dhahania na mimea..
 
Huku kuifanya miti kuwa rafiki naona ni dalili za mental illness otherwise maana ya rafiki siku hizi imebadilika
 
Maneno ya busara kabisa kutoka kwa watu tuliotendwa na wanadamu
 
Back
Top Bottom