Marafiki tuliosoma Shule moja tutafutane hapa

Marafiki tuliosoma Shule moja tutafutane hapa

Mimi binafsi:
GLORIA SOSPETER (MUUNGANO P/S, MWANZA) Ujumbe: Nilikupenda sana, sema ndo ivyo akili ya mapenzi ilikuwa bado ni ndogo sana

REVINA ADOLF (MUUNGANO P/S, MWANZA)

REVINA MELKIAD (MUUNGANO P/S, MWANZA)

SOFIA PETER (MUUNGANO P/S, MWANZA)

MARIAM MAZENGO (MUUNGANO P/S, MWANZA) Japo hukunipenda hata kidogo

VENERANDA PETER (MUUNGANO P/S, MWANZA)

ALPHONCE SION (MUUNGANO P/S, MWANZA)

WILLIAM ERICK (MUUNGANO P/S, MWANZA)

DAUD ATHUMANI (MUUNGANO P/S, MWANZA)

DENIS DEUS (MUUNGANO P/S, MWANZA)

Secondary:
REBECA MCHAKA (MWANZA SEC)

REBECA ANDREA, S2 (MWANZA SEC)

AGNES EMMANUEL ,S2 (MWANZA SEC)

JANETH, (BUSINESS CLASS 2017 IV) Kumbuka nilikutamkia kukupenda, wala hukunilipa zawadi ya upendo wangu (MWANZA SEC)

ROSEQUEEN, famous pale mwz sec IV 2017 (MWANZA SEC)

GRACE LAURENT, S2 (MWANZA SEC)

PM Me, Please

Mkuu hao hawapo huku,wachek facebook huko
 
Wanangu wa Aga Khan Mzizima
NURSERY: Aga Khan Mzizima class of 1997

PRIMARY: Aga Khan Mzizima class of 2004

O-LEVEL: Aga Khan Mzizima class of 2008

A–LEVEL: Aga Khan Mzizima class of 2011

UDSM; UDBS (B.Com in Accounting) class of 2014

Big up Kama kuna yeyote tulipita wote hiyo miaka.

No matters what happens...memories of our friendship can never be replaced

Mkuu hao hawapo huku,wachek facebook huko
Mkuu, Huna akili! Narudia tena HUNA AKILI, Nasisitiza tena HUNA AKILI, Nakazia tena HUNA AKILI, Hivi una mke mkuu? Kwanza hupaswi kuwa na mke, na unavyoonekana ni mwanafunzi ulieko boarding, na muda huu umetoka prepo ukaamua kupitia huku kuandika reply ya kipumbavu

Kama hawa ninaowatafuta hawako huku, unataka kusema walioko JamiiForums sio watu? Ni mazombie? Kwani wewe sio mtu? Au mimi sio mtu? Au unadhani JamiiForums inatumiwa na wewe pamoja na ndugu zako tu?

Hata hiyo facebook unayoidharau, JamiiForums ina verified account huko. Wala maxence melo sio mjinga kama wewe kutengeneza jukwaa la MMU, au hujui kirefu cha MMU? Max ni mtu mwenye familia ya mke na watoto, nadhani ushanielewa ninachomaanisha. Hivi wewe kabila gani kwanza?

Hata MMU hujulikani. Tazama replies za wenzako kwenye huu uzi kama zinafanana na reply yako ndipo utagundua maana halisi ya empty box. Tumia kichwa cha juu, achana na kichwa cha chini

Ngoja nikuitie Kelsea pamoja na mumewe mzabzab waje wakushangae kwanza.

Mkuu Demi Mzee wa kupambania Kunguru wa Manzese cocastic Smart AJ DeepPond wa Majay Tigo
 
Achana naye chizi huyo. Nyuzi zingine kama hana cha kucoment awe anapita tu 🤣🤣🤣
 
Sie wa elimu ya mtaani inakuaje Sasa?

Naomba nitahadharishe jambo Moja Kwa nyie wanascholar, watu wanabadilika sana, Kwa uzuri au Kwa ubaya.

Namaanisha hao watu mliosoma nao mkapotezana, ukikutana nae Sasa hivi usifikirie atakua ni mtu yuleyule. Pata muda wa kujiridhisha kabla hamjafika mbali kwenye mipango yoyote.
 
Wanangu wote tuliosoma IST 2001 -2003 tuchekiane basi.

Na wale wa popatlal pale tanga kwa chaudry mpe jamani. Kuna mrembo mmoja sophia nilikuwa nakupiguaga nyeto hatari ila kwa sababu ya udomo zege nilishindwa kukutongoza.

Green acres ya pale arusha vipi mpo?
 
Back
Top Bottom