Marafiki tuliosoma Shule moja tutafutane hapa

Najuta kukataa shule. Nilikua nakimbilia kuuza karanga na kuchunga ng’ombe
Maisha popote mkuu husiwaze Cha msingi ni kuingiza mtonyo maana hata sisi tunaosoma au tuliosoma lengo kuu ni kupata pesa kwa kuajiriwa na wachache ndio wanawaza kujiajiri
 
1.Victor simbaulanga
2.Catherine kisani
3.Wilfred paul
4.William swai
.....Muhimbili primary school 1995-2001
 
Kijitonyama primary 2000
Kizuka TPDF Sec 2004
Mwakaleli High Sc 2005
Jitegemee JKT High Sc. 2008
UDSM (UDBS) in management science 2011
PM me my comrades.....
Hiyo ni Kijitonyama Kisiwani?
 
Sisi wengine tuna bahati mbaya hapa juzi tu nimetoka kuleft kwenye group waliloniadd tuliosoma nao secondary yani balaa tupu wale jamaa hawajawahi change yani tabia ni zile zile kuna jamaa tumemchangia rambi rambi anakuja kutuambia aliyekufa ni rafiki wa babu yake

Mwingine kajifanya amekufa ili achangiwe pesa nae mara kaonekana baa na mwagilia moyo ila ndo wadau wangu niliosoma nao hakuna hata mmoja yupo ofisini darasa zima ma loser akuna aliyefanikiwa kutokana na elimu

Ila nawakubali sana wadau wangu ile laana ya maisha nahisi tulipewa wote tukiwa class na vile darasa letu lilikua karibu na choo

Wanawake ndo sijui wamepotelea wapi. Niliyemuona siku za karibuni ni dada mmoja alikuwaga mlokole kipindi icho shule ila sahizi anamiliki glocery na ukitaka kula malaya ye ndo dalali wao mkubwa[emoji1751]

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]
 
Tabora Boys 2004, Udsm Telecom engineer 2011 karibuni
 
Kijitonyama primary 2000
Kizuka TPDF Sec 2004
Mwakaleli High Sc 2005
Jitegemee JKT High Sc. 2008
UDSM (UDBS) in management science 2011
PM me my comrades.....
Kizuka ya miaka iyo alikuwepo jamaa anaitwa mbaraka forogo kwa sasa ni katibu tawala mkoa wa mara nahisi alikuzidi vidato
 
Wapi wazee wa MIDLANDS HIGH SCHOOL.

Waseminari nawatafuta sana
Ikiwa mko humu cheki na mimi tuendeleze useminari wetu na ibada zetu juu ya daraja la kimara hapo.
 

Huwezi amini sijaelewa ulichoandika[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Haha Forogo alinizidi mwaka mmoja kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…