mkuu naona sasa unakuja na suluisho zuri la kuweza kupunguza hili "tatizo la kitaifa" maana tukisubiria mpaka srikari ianzishe wazo hili yaeza kufikia 2050. Hii yaweza pia kuwapa moyo walimu zaidi ili kupunguza 'woga na chuki' kwa hesabu mashuleni.
Nawatakia kila la kheri