baunsa wa kike
Member
- Jul 25, 2014
- 83
- 36
Habari wanajamvi,
Natafuta marafiki aged 25 mpaka 30 kwaajili ya mitoko hasa siku za wikiend kwenda clubs mbalimbali au sehemu yeyote ya bata kama kula kunywa nakadhalika.
Nimekua na marafiki wengi tu ila kinachokera ni utegemezi wao si wanaume au wanawake. unatoka nae out anataka umlipie, pili hana usafiri mida ya kurudi anakutumbulia macho umrudishe, yani ni kero kero kero, sijui hata nnabahati mbaya gani, sijawahi pata rafiki independent kabisa.
Mimi ni msichana, mambo ya kutongozana sitaki, i only need company.
Machangudoa hawahitajiki, nahitaji kijana anaejielewa, mfanya kazi au mjasiliamali ambaye atahitaji kutoa stress za kazi wkend, uwe na kipato chako. katikati ya wiki ni muda wa kazi tusiendekeze bata.
Maisha yenyewe ndio haya haya, aliyetayari anicheki tuunde group. kama vyuma kwako vimekaza lala ndani.
karibuni wote.