Marafiki wa mtwara mjini(soma hapa).

Marafiki wa mtwara mjini(soma hapa).

KIGHERA

Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
84
Reaction score
27
Wiki ijayo nakuja mtwara mjini,nitakuwepo huko kwa week 2 mpaka tar 28 may.Sasa kwa vile mm sio mwenyeji sana huko,ntahitaji company ya washkaji wa jf angalau tubadilishane mawazo ili nisiboreke sanaaaaa........kama utakuwa interested uni PM
 
Nenda pale Makonde club utawakuta wengi sana mtabadilishana mawazo.
 
Karibu sana..wenyeji tupo....inategemea hoby yako ni nini hasa....but some hw kila kitu kipo hapa Ntwara
 
Usikose kwenda bandari club ijumaa jioni...mziki ndugu...ila mademu ndo hivyo si safi saana
 
Back
Top Bottom