Marafiki wa wapenzi/wenzi!

labda ni mimi Lizzy sababu ya yaliyonikuta huwa sipendi sana,lakini ukweli ni kwamba unaweza ukawa ni usanii period au ni mtu anakupa heshima yako na kuonyesha kukujali.


Pole mwaya.
Kweli kutambulishwa haina maana wewe ndo wa kipekee....kuna watu wanatambulisha hata wanne kwa mpigo...marafiki zake waishia kukuchora tu unavyotukuzwa ukiwepo!
 
Mi naona bora uwe huru na mpenzi wako kuliko kumficha ficha kisa utapinduliwa na rafiki yako. Kwanini uwaogope rafki zako wawili watatu wakati huyo mpenzi wako anakutana na watu wa jinsia hiyo karibia kila siku.
Husniyo,unacheza wewe,sisi wanaume ni viumbe dhaifu.
 

baba e,hebu kuwa mkweli kwa nafsi yako,je hujawahi aslan kumtaka rafiki yeyote wa mkeo kwa mawazo,maneno au matendo?
 
mama wa nyumbani huyu au? maana unaposema umkute unasahau wengine sie tunachelewa makazini kwetu
 
Lizzy asante kwa hii thread.... From mwanzo mpaka hapa .... very very interesting....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…