BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Habari za jmosi wakuu ,kuna kitu kinaniudhi sana linapokuja swala zima la kulalamia, unakuwa na rafiki yako best friend, anakuwa mlalamishi kwa kila kitu, ukinunua kiatu atakwambia mbona hukuniambia tununue wote, ukipanga kusafiri for holiday maybe na bf wako atakwambia mbona hujanambia mapema na mi ningemwambia wangu twende, ukienda mahala bila kumwambia atakupigia simu kulalamika siku hizi unamtenga,Hiini haliya kawaida? nampenda rafiki yangu ila tabia ya kulalamika inaniboa sana, na wewe ushawahi kuwa na rafiki wa aina hii, ni kawaida au kuna kawivu??