BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Habari za jmosi wakuu ,kuna kitu kinaniudhi sana linapokuja swala zima la kulalamia, unakuwa na rafiki yako best friend, anakuwa mlalamishi kwa kila kitu, ukinunua kiatu atakwambia mbona hukuniambia tununue wote, ukipanga kusafiri for holiday maybe na bf wako atakwambia mbona hujanambia mapema na mi ningemwambia wangu twende, ukienda mahala bila kumwambia atakupigia simu kulalamika siku hizi unamtenga,Hiini haliya kawaida? nampenda rafiki yangu ila tabia ya kulalamika inaniboa sana, na wewe ushawahi kuwa na rafiki wa aina hii, ni kawaida au kuna kawivu??
Mi nashangaa sana yaani tatizo lake ni hilo tu mambo mengine ni rafiki mzuri sana, huwa anaenda out na bf wakeMazoea hujenga tabia.
Inawezekana tangu kabla hamjapata ma-bf mlikuwa mnatoka pamoja. Sasa haya mazoea yamehamia hadi wakati mkiwa na ma-bf.
Kwani yeye hawezi kupanga outing zake na bf wake??
Ajabu kuna mkaka ofisini anamboa rafiki ake kwa mambo kama hayaMara nyingi urafiki wa aina hiyo ipo kwa madada! Makaka hawana haya mambo!
Ni wazo zuri sana Gaga talifanyia kaziNi hali ya kawaida, marafiki wengine wanapenda kujua kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yako, na ikitokea kasikia kwingine atakasirika kama vile umemcheat, mie pia nina marafiki wa ainahiyo ila huyu wako kazidi mipaka, kaa nae chini umweleze kwamba hiyo tabia yake huipendi, kupoteza rafiki yako mnaeheshimiana kwa sababu ya hili sioni kama jambo la busara
Habari za jmosi wakuu ,kuna kitu kinaniudhi sana linapokuja swala zima la kulalamia, unakuwa na rafiki yako best friend, anakuwa mlalamishi kwa kila kitu, ukinunua kiatu atakwambia mbona hukuniambia tununue wote, ukipanga kusafiri for holiday maybe na bf wako atakwambia mbona hujanambia mapema na mi ningemwambia wangu twende, ukienda mahala bila kumwambia atakupigia simu kulalamika siku hizi unamtenga,Hiini haliya kawaida? nampenda rafiki yangu ila tabia ya kulalamika inaniboa sana, na wewe ushawahi kuwa na rafiki wa aina hii, ni kawaida au kuna kawivu??
Mie mbona inaniboa hii? au ndio mimi sio rafiki wa kwelikiukweli mambo hayo yapo hasa marafiki mlioshibana unajihisi unahusika katika maisha ya uyo rafiki yako kwa kiasi kikubwa.
mi pia nina rafiki yangu kama hajawasiliana na mm huwa nahis kuwa ndo kanitenga na huwa na mlalamikia ile mbaya
Kuna vidume vinalalamikaga ile mbayaHiyo tabia ni for girls only nafikiri...
Boys dont do that
Kweli kabisa BBKuna vidume vinalalamikaga ile mbaya
Kuna vidume vinalalamikaga ile mbaya