Bubu...Tatizo si Kikwete ni Mfumo Mzima....We need overall Change....Who is Clean in CCM?
Fuatilia makala niliyo post ya conflict theory na utajuwa kwanini masikini wanachomwa moto kwa wizi wa kuku na mafisadi wana HAKI ZA KIBINADAMU.
Ndugu,Ngurumo ubarikiwe sana.Hakika katika historia ya mashujaa wa kuikomboa Tanzania kutoka katika himaya ya Mafisadi hautasahaulika.Historia itakumulika
Hapa wamo mashujaa waliojitoa kafara katika kuikomboa Tanzania,kama akina Samson Mwigamba,Timbwaga,Malera,Irene Mark,Padri Privatus karugendo,Conges Mramba,Cris Allan,Mwanakijiji,Jenerali Ulimwengu, na wengineo wengi ambao hawana compromise na mafisadi,wenye uchungu na nchi yao.
Mioyo yenu ndiyo tunu kwa watanzania.Mtarudishiwa mara mia zaidi na Muumba
Sihofii wananchi kuchukua hatua mikononi, bali naonyesha ni jinsi gani sheria zinapovunjwa na viongozi, athari zake ni hizo watu kujiamulia mambo!
Chuma, tatizo kubwa zaidi ni Rais, kwa Mamlaka aliyonayo Kikatiba anaweza kuufumua mfumo huo unaodai kuwa ndo tatizo. Kwani mfumo huwekwa na nani si serikali? na Mkuu wa Serikali ni nani? Si Rais... huyo ndo tatizo.