.......lol.... Umenifurahisha kweli na kunikumbusha mbali.... Data yaweza kua kweli una hela but kuna kitu kinaitwa personal dignity.... kawaida tumezoea mgeni wako akija um-hudumie na kumkarimu... hivo vitu vyahitaji pesa uwe nayo, saa ingine ukute tu hata mambo ya the person(s) in question ni mbaya kimaisha hivo anaona bora akukwepe kuliko akupe faida uone hali yake kua sio nzuri.... Pole saana....
wameniboa saanaaa........ tatizo naondoka kesho.. siwezi wacheki watu wa JF.... may be next tym
Ndio cku nyingine uwe unatoa taarifa kabla haujaondoka huko CTIMBI.Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu.... <br /><br />
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
dah...nahisi nawe upo pande hizi Preta??
Hahaha data pole sana marafiki kuna mda wanayeyusha sana au wamepata marafiki wapya we kimtindo unatokea recyclebin ipo siku nao watakutafuta sio kukuona 2 bali na shda kibao.