Marafiki wanaoishi DAR... Sio kabisa

Mbona kamati ya Mapokezi: ODM, Fidel80,GY ,Bigirita MTM na Teamo hujatuorodhesha kwenye hiyo list? Au kwa vile hatujajiunga na JE Saccos? Ngoja tujiunge, wageni watakoma!
 
Pole sana DATA, kuna kitu kimoja lazima ukijue hapa bongo, muda ni bidhaa ghali sana. mie mwenyewe nilipotua hapa bongo nilianza walaumu sana marafiki zangu kwa kutoonana nao ila muda ulivyoenda nikagundua hata mimi wanaokuja wananilaumu vile vile, ukweli uko hivi:

Watu walioajiriwa muda wao ni wa manati sana, wafanya biashara ndo hutowapata kirahisi kwani muda kwani ndo mtaji

Pole sana but keep chace them!!


Ukitaka

 

Binafsi nnapoenda dar kuna mtu mmoja tu huwa naenda kupeana nae updates za maisha ya mjini na huku mikoani wengine wote huwa nawapotezea. Huwa sitafuti mtu zaidi ya mara moja, akiniyeyusha nami huwa nampotezea jumla.
 

It happens to me also,sio marafiki tu hata ndugu wa karibu kitu cha muhimu ni kuwapotezea na kufanya mambo yako.Ndugu jamaa na marafiki hukutanishwa pamoja na msiba,harusi au sherehe yoyote bila hivyo huoni mtu.
 
u
Data inaonyesha wewe siyo mkarimu hata kidogo. Muoshawa huoshwa. Mikoani kuna mambo mengi ambayo dar hakuna au ni kwa nadra kuyaona. Kama unga wa muhogo, mafuta ya alizeti ni bei ghali etc.

Kama unamind mtu akikutuma unga wa muhogo unatakaje akupokee? Lol
 
Duh! Data Imekuuma sana Mpwa. Pole kaka Karibu Kwetu Pazuri
 
Hee! yaani hutaki hata zawadi za nsansa,matobolwa,ntwili na mihogo..&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
<br />
<br />
Moria hiyo ndo nini umeandika maana hivyo vitu sijui hata kimoja nifahamishe tafadhali kwa roho safi
 
Ndio cku nyingine uwe unatoa taarifa kabla haujaondoka huko CTIMBI.

daah! Pole sana japo tuna tofauti..
We unakuja kufanya mapumziko mjini?
Mapumziko ya wki tu,
wa2 mishemishe kibao mji huu, tunasaka mchone/goto..
Usije tena mjini...
Haaahaa natania..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…