mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 220
mtu wako wakaribu awe mpenzi ,rafiki ama nduguu vyovyote vile basi anavo ondoka na kwenda mbali
unagundua vitu viwili 1️⃣nikiasi gani unamhitaji na kuliona pengo lake2️⃣nivile alikuwa kikwanzo kukukwamisha kwenye mambo yako so unafurahia kuondoka kwake penda unachofanya ,amini unacho kifanya ,mwamini ulie naye kwasasa awe rafiki au mpenzi /mchumba✅✅