LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Habari za humu, Mimi tokea nikiwa Mdogo nimejikuta tu nikiwa na marafiki walionizidi umri, ninaposema rafiki namaanisha marafiki wa kweli na ni wajinsia zote.
Nakumbuka Kuna kipindi mm nikiwa Bado sijaoa nililetewa kesi ya ndoa mume akiniambia matatizo na mke akiniambia matatizo ya mume.
Niliweza kuwapatanisha wale watu walionizidi zaidi ya miaka 7 mm nikiwa na 18+ zaidi wakati huo.
Yaani kiujumla mm mahusiano yangu zaidi naendana na watu walionizidi umri Hadi wazee, wananielewa sana kuliko rika langu.