6321
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 649
- 1,117
Habari za asubuhi wana JF.
Rafiki ni mtu wa muhimu sana kwa kila mtu mwenye akili timamu. Rafiki anaweza akawa connection yako ya kwanza, itategemea urafiki wenu umeunganishwa na kitu gani. Mfano kama urafiki wenu ni wa ulevi basi viwanja vipya vyote mtaunganisha kuvifikia. Kama ni biashara basi atakuunganisha huku na kule ila mradi tu aone umepiga hatua moja kwa nyingine.
Tatizo kubwa linakuja marafiki wanaleta urafiki kwenye biashara na michongo ya pesa. Unaweza kumkingia kifua rafiki yako apate mchongo, kwa maana ya kujitoa kumpamba, kusifu umaridadi wake wa kazi mwisho wa siku anafanya ndivyo sivyo.
Vijana tuchangamkeni michongo tunayounganishwa nayo iheshimu, heshimu kazi yako, pesa zako. Vijana tunashindwa kupeana michongo sababu ya janja janja nyingi, tamaa mbele.
NB: Ni heri ufanye kazi na mtu baki lakin sio rafiki yako. Marafiki mnatuachia lawama na kuharibu uaminifu wetu kwa wengine[emoji1787]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app