Marafiki

Illegal fishing ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wewe Dan ME kwann ukomalie kampani ya jinsia KE??

Halafu unadai urafiki sio wa kimapenzi, hivi unaweza kuufanya muwa km fimbo ya kutembelea na usiule?? Acha zako wewe ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Utakulaje kitu ambacho huna ham nacho alaf wanawake ni best coz siwezkua nachat na boy everyday kuwa na urafiki na mwanamke inawezekana sana tu kwa mwanaume anaejua nn anafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ