Marafiki

Mbuty

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
411
Reaction score
238
Hellow,naitwa Sean nina miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana pale IFM,ninaishi Dsm. Natafuta marafiki,any gender maana I'm interested in networking pia,I'm not married nor in anything serious,napenda kushauri,kusaidia na kuwa ktk sehemu ya suluhisho. Just inbox me kwa 0779135909. Asanteni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

wewe ni ME au KE? Then hiyo CV ipeleke recruitment agencies watakusaidia zaidi!
 
kazana kutafuta kazi, marafiki watakuja tu

mwali naona huwa unakagua nyuzi zote mmu manake kila nikiangalia nataka kupost nakuta umewah lol! nakupenda bure shostito
 
he he he, nawasaidia watoto hawa kukua kiakili

wasije wakapinda bure.

mwali naona huwa unakagua nyuzi zote mmu manake kila nikiangalia nataka kupost nakuta umewah lol! nakupenda bure shostito
 
Oh sorry kumbe jina la Sean hutumika pia kwa wadada sikufahamu,read between the lines,I'm after networking na mara nyingi that goes with no gender in particular,marafiki I hope wamenielewa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Oh asante Kongosho,ninafanya kazi pia,nipo na kampuni moja working as an NGO and a microfinance empowering women. Karibu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
oh asante kongosho,ninafanya kazi pia,nipo na kampuni moja working as an ngo and a microfinance empowering women. Karibu

sent from my blackberry 9700 using jamiiforums

non governmental organisation ipi???? Ngo ipi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…