Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kuna kibinti kimoja hapa mtaani kwangu kimesikika kikiapa kuwa lazima kitembee na mvulana mmoja ambaye husifika kwa mabinti kumgombania.....................sababu hazieleweki kwa uwazi sana..........kwa nini kijana huyu husakwa kwa udi na uvumba.............maana hana nyuma wala mbele kwa maono yangu ya kiutu uzima....
binti huyu anadai kachoka kusimuliwa khabari za huyo kijana kwa hiyo anataka naye mvua zimnyeshee.....simulizi tajwa hayuko tayari kuwajuza wenzie........
tatizo wote wapo kwa aidha walezi au wazazi........................hawajui kusaka mkate wao................what a waste of God given talents............
Ruta,
Have you ever been in that situation? I bet, you would feel like a king, especially when the people involved are queens of their own sort! Try once...you will be tempted to make a repetition!!!!
ndipo hapo huwa wanaliwa kiulaini bila ya hata kutumia nguvu nyingi na mikogo ya kila aina..
Ukiona unagombaniwa ujue mambo yako si haba aidha kwa bed au kwa mfuko....
si ujanja kwa mwanaume mchapakazi,otherwise unatafuta lawama tu mtaani kwa wazee wenye heshima zao na malezi bora.
piga kazi mzazi achana na mambo ya wanawake kukugombania,kwa huu ulimwengu ulivyobadilika ipo siku utasikia wanaume wamemcamerun then after few month naye anagombaniwa kwa utamu wake kwenye masa.b..u..r. jitahidi uonane naye umpe staha za maisha
Na huko ndo atakuwa anawashika sana hasa inapotokea hao wadada hawajawahi pata mtu wa kuwakuna vilivyo lazma wadatehuyu kijana hana kitu labda bedroom biz.....................
Na huko ndo atakuwa anawashika sana hasa inapotokea hao wadada hawajawahi pata mtu wa kuwakuna vilivyo lazma wadate
huyu kijana hana kitu labda bedroom biz.....................
Na kama ni wa Dar, huenda atakuwa ni mteja wa maduka ya dawa bariiiiiiidiiii!
mimi ndio nipo kwenyee peak right now na sijui wananipendea nini ..sina hiki wala kile
Mwanamke mwenyeakili timamu anayejitambua, hawezi kugombania mwanaume, ukiona unagombaniwa yawezekana pia mwanume wewe maharage ya mbeya maji mara 1, kila mtego unaingia ala ala!sandakalawe mwenye kupata apate binti, mtoto,ajuza, ukiona unagombewa jua sio mwanaume anaekubalika kwa wanawake wanaojitambua.
Ruta ..hizo sababu alizozandika mbalisana inabidi nijiangalie ..ial mimi simo kwene hizo sababu alizoziweka hapo na wala mimi sio sharo kiviile labda kwa vile napiga mazoezi na kikapu kwa sana sijuifafanua maana Saint Ivuga adai yeye yumo kwenye chati hata sababu hazielewi............................lol
unamaanisha nin ukisema hisia?Wanawake ndo walivyo,huwa hawahitaji sababu ya msingi hisia zao tu tosha!