and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Vipi huyu alikwenda maana huwa sijui hata kama yupo
Nyumbu siku zote huwa hajui anataka nini. Enzi za Mwamba Magufuli alipokuwa haendi maziara ya Ulaya akisema anajenga nchi, mlimlaumu eti anajitenga na Jumuiya ya Kimataifa. Haya, Rais Samia hajaenda ila kamtuma Makamu wa Rais mnalalamika eti hela inatumika vibaya!Marais kadhaa wa wanachama wa SADC (Botswana, Zambia, Namibia , Afrika Kusini) wapo bize nchini mwao wakipambania wananchi wao wawe na maisha Bora. Badala ya kwenda kuteketeza mamilioni kwa safari ambazo hata Balozi zao waliopo Rome wangeweza kuwakilisha.
Wewe kwa akili zako huyu hajaenda kwa sababu anajali hela kutotumika vibaya au unadhani alikuwa na sababu nyengine?Nyumbu siku zote huwa hajui anataka nini. Enzi za Mwamba Magufuli alipokuwa haendi maziara ya Ulaya akisema anajenga nchi, mlimlaumu eti anajitenga na Jumuiya ya Kimataifa. Haya, Rais Samia hajaenda ila kamtuma Makamu wa Rais mnalalamika eti hela inatumika vibaya!
Nashauri ianzishwe Sheria ya Kutandika Viboko Hadharani (Viboko Hadharani Act 2025) ili watu kama ninyi mtandikwe viboko hadharani ili muwe mnatia akili.
Nyumbu siku zote huwa hajui anataka nini. Enzi za Mwamba Magufuli alipokuwa haendi maziara ya Ulaya akisema anajenga nchi, mlimlaumu eti anajitenga na Jumuiya ya Kimataifa. Haya, Rais Samia hajaenda ila kamtuma Makamu wa Rais mnalalamika eti hela inatumika vibaya!
Nashauri ianzishwe Sheria ya Kutandika Viboko Hadharani (Viboko Hadharani Act 2025) ili watu kama ninyi mtandikwe viboko hadharani ili muwe mnatia akili.
Sasa kama humkubali unafikiri ndio anaacha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kweli wewe ni mjinga na mpumbavu!!Wewe kwa akili zako huyu hajaenda kwa sababu anajali hela kutotumika vibaya au unadhani alikuwa na sababu nyengine?
Kwenye bold neno rais nimekataa kuli-bold kwa sababu huyu mwanamke simkubali kama rais.
Sikuzidi wewe unaekubali kuongozwa na mwanamke,ukitaka kujua umjinga kiasi gani jiulize uliwahi kumuona baba yako amemkaimisha mama yako majukumu ya nyumbani?Sasa kama humkubali unafikiri ndio anaacha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kweli wewe ni mjinga na mpumbavu!!
Ebu weka selfie ukimchapa makofi mamaako nione kweli huwaheshimu wanawake! Fanya chap!!Sikuzidi wewe unaekubali kuongozwa na mwanamke,ukitaka kujua umjinga kiasi gani jiulize uliwahi kumuona baba yako amemkaimisha mama yako majukumu ya nyumbani?
Huenda yakawa yanayotabiriwaYupo au hayupo?
inaweza kufika wakati akaogopa hata kimvuli chake
Anatumia nguvu kubwa kuendelea kuwa Rais, cha ajabu jina lake linaweza kutoonekana kwenye fomu hapo Oktoba.Huenda yakawa yanayotabiriwa
Mwache ajimwambafai kimlacho ki nguoni mwakeAnatumia nguvu kubwa kuendelea kuwa Rais, cha ajabu jina lake linaweza kutoonekana kwenye fomu hapo Oktoba.