Marais ninaowapenda zaidi

Marais ninaowapenda zaidi

Joined
Mar 12, 2021
Posts
95
Reaction score
109
Wana JF kwanza niwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano,Lengo la uzi huu ni kujuzana ni rais au marais gani ambao ulitokea kuwapenda
Mimi naanza na my favourite presidents;
-JM Kikwete
-Vladimir Putin
-Barack Obama
Angalizo::Viongozi hao sijawapenda sababu ya waliyofanya ila tu sababu ya personalities zao...


Karibuni wadau mtiririke
 
enzi za kuambiwa hizi sio hela za serikali,enzi za watu kugawana hela kwenye masandarusi,enzi za unanijua mimi ni nani,enzi za kwenda kupiga picha na boyz 2 men [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sawa ....usijali zimejirudia anza kula tabasamu
 
Back
Top Bottom