Marais Uhuru na Magufuli walitaniana kuhusu uzuri wa dada yetu waziri

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa marais jana walitaniana hadi raha, Magufuli alianza kusifia sifia uzuri wa dada yetu waziri, Uhuru akamshtukia mapema na kumwambia dada asibaki huko, akimaliza kupokeza dhahabu ageuze mara moja.

Kenya mlikua mnazibana rasilimali zetu toka 2010 kwa nini? Mlikua mna lengo gani nazo mpaka JPM azidai?
 
Hawa marais jana walitaniana hadi raha, Magufuli alianza kusifia sifia uzuri wa dada yetu waziri, Uhuru akamshtukia mapema na kumwambia dada asibaki huko, akimaliza kupokeza dhahabu ageuze mara moja.

kweli wanasiasa Africa wanatuchezea wananchi kama wanasesere......yaani mali ya tzs 3B tu ndiyo ya kufanya drama zote hizi?

pathetic!!
 
Ni jambo jema kama mahusiano ya nchi hizi mbili yanaimarishwa kwa nia njema ya kukuza uchumi wa nchi zote mbili
 
Una maana gani, ukizingatia mastar wenu wakubwa ndani ya nchi wote wamefuata Kenya, Kiba, Mondi na hata Ben Pol....
Hata mimi ningekuwa sijaoa, ningefuata Kenya... Dah ila Diamond ndo anataka kuiunganisha Afrika Mashariki yote, maana Tanzania ana mtoto na Hamisa Mobeto, Uganda (Zari), Kenya anatarajia mtoto pia... Akitoka hapo ataanza kutafuta Rwanda au Burundi...
 
Hao ni wanaojulikana, na je wasiojulikana utashangaa kaunganisha hadi SADC.
 
Sisi na Kenya ni Ndugu, sema ligi zetu huku ni za utani wa jadi, afu Uhuru alishtuka alasema huyo mwache arudi nitakuagizia mwingine hahaaa nikasikia magufuli anasema nimekuelewa mheshimiwa Raisi sasa naona kuna kitu mkuu atatumiwa na Rafiki yake kutoka Kenya
 
Nani amemsikia Uhuru akimwambia JPM kuwa atamtumia wale ambao anawatafuta starting at 9:03
 
Una maana gani, ukizingatia mastar wenu wakubwa ndani ya nchi wote wamefuata Kenya, Kiba, Mondi na hata Ben Pol....
Kumbe hao ?
Asa Ben pol ndio nan?
Ni watu wa kawaida tuu km wenginee?
 
Kumbe hao ?
Asa Ben pol ndio nan?
Ni watu wa kawaida tuu km wenginee?

Tanzania yote huwa kuna ushabiki wa Yanga vs Simba, Mondi vs Kiba.... Sasa hao wafalme wawili wa kwenu Mondi na Kiba wamefuataa Kenya...
 
Hawa marais jana walitaniana hadi raha, Magufuli alianza kusifia sifia uzuri wa dada yetu waziri, Uhuru akamshtukia mapema na kumwambia dada asibaki huko, akimaliza kupokeza dhahabu ageuze mara moja.
Tehe tehe,waheshimiwa hawa 'wagonjwa' sana kwenye hiyo mambo
 
Back
Top Bottom