kweli wanasiasa Africa wanatuchezea wananchi kama wanasesere......yaani mali ya tzs 3B tu ndiyo ya kufanya drama zote hizi?Hawa marais jana walitaniana hadi raha, Magufuli alianza kusifia sifia uzuri wa dada yetu waziri, Uhuru akamshtukia mapema na kumwambia dada asibaki huko, akimaliza kupokeza dhahabu ageuze mara moja.
TrueKombinesheni ya hawa jamaa kwa sasa iko poa sana, after all Uhuru Kenyatta is gentleman, yuko very social...
Hata mimi ningekuwa sijaoa, ningefuata Kenya... Dah ila Diamond ndo anataka kuiunganisha Afrika Mashariki yote, maana Tanzania ana mtoto na Hamisa Mobeto, Uganda (Zari), Kenya anatarajia mtoto pia... Akitoka hapo ataanza kutafuta Rwanda au Burundi...Una maana gani, ukizingatia mastar wenu wakubwa ndani ya nchi wote wamefuata Kenya, Kiba, Mondi na hata Ben Pol....
Hata mimi ningekuwa sijaoa, ningefuata Kenya... Dah ila Diamond ndo anataka kuiunganisha Afrika Mashariki yote, maana Tanzania ana mtoto na Hamisa Mobeto, Uganda (Zari), Kenya anatarajia mtoto pia... Akitoka hapo ataanza kutafuta Rwanda au Burundi...
Kenya mlikua mnazibana rasilimali zetu toka 2010 kwa nini? Mlikua mna lengo gani nazo mpaka JPM azidai?
Kumbe hao ?Una maana gani, ukizingatia mastar wenu wakubwa ndani ya nchi wote wamefuata Kenya, Kiba, Mondi na hata Ben Pol....
Tehe tehe,waheshimiwa hawa 'wagonjwa' sana kwenye hiyo mamboHawa marais jana walitaniana hadi raha, Magufuli alianza kusifia sifia uzuri wa dada yetu waziri, Uhuru akamshtukia mapema na kumwambia dada asibaki huko, akimaliza kupokeza dhahabu ageuze mara moja.
Tehe tehe,waheshimiwa hawa 'wagonjwa' sana kwenye hiyo mamboHawa marais jana walitaniana hadi raha, Magufuli alianza kusifia sifia uzuri wa dada yetu waziri, Uhuru akamshtukia mapema na kumwambia dada asibaki huko, akimaliza kupokeza dhahabu ageuze mara moja.