Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin.
ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano mkubwa (Aiding and abetting)
Marekani ndiye msambazaji mkuu wa silaha za Israel
Biden amekuwa bega kwa bega na Netanyahu
Trump ameapa kushirikiana zaidi na Israel
Hali hii inaleta uwezekano mkubwa wa Biden na Trump kuwekewa vibali vya kukamatwa