Marais wanawake wa kiislam duniani

Marais wanawake wa kiislam duniani

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha

1. Halimah.
Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023.
1698561705227.png

1698561768435.png

1698561829463.png

Rais Samia Suluhu Hassan
Upto 2035(inshallah)

SIFA KUBWA YA MUISLAM DHIDI YA ASIEKUWA MUISLAM
Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimamisha uadilifu mtoapo ushahidi kwa ajili ya Allaah japokuwa ni dhidi ya nafsi zenu au wazazi wawili, au jamaa wa karibu. Akiwa tajiri au maskini Allaah Anawastahiki zaidi. Basi msifuate hawaa [matamanio] mkaacha kufanya uadilifu. Na mkipotoa [ushahidi wenu] au mkijitenga [kuepuka au kukataa kutoa ushahidi], basi hakika Allaah kwa myatendayo ni Khabiyraa (Mjuzi wa vilivyodhahiri na vilivyofichikana)." (04:135)
 
Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha

1. Halimah.
Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023.
View attachment 2796510
View attachment 2796511
Maralia maralia vp kwani??
Kuna watu wanaumia wakiona ushungi???
Kwani ushingi unavaliwa na waislamu tu duniani???
Au ni tamaduni za jamii nyingi za wanawake duniani???
NB: VP KUHUSU GAZA WALE MAYAHUDI SI ULISEMA WANAOGOPA KUINGIA
VP BADO WANAOGOPA TU AU????
 
"Ewe Nabii, waambie wake zako na binti zako na wake wa waaminio, wateremshe shungi zao. Kufanya hivyo kutapelekea wao kutambulikana (kwamba ni wanawake waungwana) hawatakerwa ( na watu waovu), na Allah ni Mwingi wa kusamehe (tena) Mwenye huruma".1
 
Maralia hii adithi umeitoa wapi???
Mbona kuna hekaya za kiarabu ndani yake.
Nisomee pia na adithi idadi:6,245
Ya Mu'waiya Abu ibn Sufyan
 
View attachment 2796549kaa hijab kapendeza sana tu. Hijab humjengea heshima mwanamke.
Maralia hiyo haiitwi hijab tu kwa lugha ya kiarabu acha ushamba.
Hicho kinaitwa kitambaa cha kichwani kinachovaliwa na wanawake na kwa kiswahili kinaitwa ushungi.
Wanawake woote duniani wanavaa vitambaa vya kichwani ila kwa mitindo tofauti tofauti.
NB: ACHA USHAMBA WA AKILI KWA KUAMINI KUA HESHIMA INAJENGWA NA HIJABU MAANA KUNA MALAYA WENGI TU WA KIARABU PALE RYADH SAUDI ARABIA NA WANAVAA HIJABU NA NIQAB NA WANAJIUZA.PIA NI USHAMBA KUAMINI WAISLAMU TU PEKEE NDIO WANAVAA USHUNGI.
SAFIRI DUNIANI UJIONEE.
NB: HESHIMA UJENGWA NA TABIA NA SIO HIJABU.
 
Christian Women Have To Wear Hijab According To The Bible​

Maralia wewe mgonjwa wa akili.....Si umeona nilivyokujibu pale juu.
Naamini unaumwa maralia na imekupanda kichwani.
HIJABU NI NENO LA KIARABU LINALOMAANISHA KITAMBAA CHA KICHWANI KINACHOVALIWA NA WANAWAKE.
NA WANAWAKE WOTE DUNIANI WANAVAA VITAMBAA VYA KICHWANI KWA MITINDO TOFAUTI TOFAUTI
 
Wanawake duniani?
 
1698565403645.png
 
Back
Top Bottom