Marais watanashati (handsome)duniani Afrika hatujaachwa nyuma

Mkemia anavaaga masuti yana mikono mirefu pia alikuwa na mtindo wa kuvaa koti la suti na suruali rangi tofauti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kweli kenyata handsome na mtanashati kwa jicho lake lile mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lile jicho ukutane naye alfajiri ndiyo kaamka mmmm [emoji15] [emoji15] [emoji15] wangemweka JK wetu sawa
 
Kuna tofauti ya uhandsome na utanashati, kenyata mtanashati haina ubishi 8la sura hana.
 
Uhuru hafai jicho muda wote limekwiva sijui anakula nini
Nkutunzinza kweli anafaa
Yaani nimecheka kweli Uhuru jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] , kwanza hajawa rais duu sijui alikuwaje lile jicho haaa haaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…