Marais watanashati (handsome)duniani Afrika hatujaachwa nyuma

Khaaa iyo nafasi ya Kenyatta angekaa Kikwete.Hii list imejaa upendeleo
 
Wapi baba wa msoga,,? Wapi kagame.?
 
Kenya lini imewahi kuwa na Raisi Handsome?

Tangu Mzee Jomo, Moi, Kibaki, Mr Independence....

Huenda hii listi imeandaliwa na Wa/Mkenya.
 
Mbona naona hawamfikii Mzee Wa mtaa hapa kwetu .
😝😝😝😝😝 .w
 
Marais wa dunia walitajwa kuwa ni watanashati handsome,waafrika wamo Kenyatta na Nkurunzinza wametubeba.
jionee mwenyewe.


2.Tigme Khesar Namgyel Wangchuck- King Of Butan
.
Haka ka nchi wanafanana wachina na wajapan, wao maendeleo wanayapima kwa kiasi gani wananchi wana furaha.
Nina rafiki yangu ni raia wa hii nchi kazi ni nyingi kuliko raia na kati ya nchi ambazo sikuwahi zisikia mpaka mwaka 2010 nilipota rafiki huyo, yeye alikuwa anahisi mfalme wao mtu mkubwa anajulikana dunia nzima anashangaa sikusikia juu ya harusi aliyofanya wakati anaoa.
 
6 na 9 they make me feel I'm lucky
 
Kama hadi Kenyata yupo kwenye hii list basi mi nimepita tu
 
Hivi uhandsome ndio utanashati eeh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…