Marais watanashati (handsome)duniani Afrika hatujaachwa nyuma

JPM hayumo?? Nadhani paji la uso lilivyosogea mbele kama anavyocholaga Kipanya ndo limemponza.
 
Hata Kenyatta na jiwe ,jiwe anachukua zote mia
 
Mwanaume wa Dar ktk ubora wake
 
halafu sasa unaweza ku-imagine yeye aliyeumba, uzuri wake yeye ukoje!
 

List ya mwaka gani hii, JK wetu mbona ni zaidi ya mtanashati jamani
 
Hakuna rais handsome hata mmoja duniani na hatatokea!!!! Uhandsome unarange katika age ya 6 mpaka 26 kwa mwanamme na mwanamke uzuri 4 - mpaka 32 above hizo range ni MABIBI na MABABU BOMBA.

Ukitaka kuprove ebu wacheck vijana mliosoma nao primary/secondary/chuo ambao walikuwa handsome kipindi hiko,je bado mahandsom mpaka sasa? Wengi washafubaa na pilikapilka za maisha na stress za kutoboa.

Madada wanarange kubwa kubwa coz wanajipimp sana na makeup na vibwagayose na vipodozi.
 
Dah! Leo ndiyo nashangaa kuona wanaume wakibishania u handsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…