Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Ndg zetu Wanaopata kuwa ambassadors wanaabisha nchi.
Mods naomba urekebishe title. Marais wateue waliosomea international relations and diplomacy
Mh Rais ateue wenye fani wataalamu wa uhusiano wa kimataifa wawakilishe nchi yetu kimataifa.
It's a joke kumuweka MTU kama bosheni