Marais wengine Afrika msirudie kufanya kosa lenye dharau na kutoonesha kujali waathirka kama alilofanya Rais Ruto

Marais wengine Afrika msirudie kufanya kosa lenye dharau na kutoonesha kujali waathirka kama alilofanya Rais Ruto

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na bahati nzuri hilo Kosa lake ameliweka Yeye mwenyewe katika Ukurasa wake wa X (zamani Twitter) nadhani akidhani kuwa alichokifanya kilikuwa ni sahihi wakati Kiuhalisia na kwa hali iliyoko na Mazingira waliyonayo Wananchi wake hakupaswa kufanya hiki alichokifanya.

Yaani Rais Ruto kaenda Kuwafariji Wahanga wa Mafuriko badala ya kuwapa a way forward kwa Maisha yao ambayo sasa yanaenda kuwa Magumu Yeye kafika hilo eneo huku akiwa na Mzaha mwingi, Kuchekacheka Kwingi kusikokuwa na maana na akitumia muda mwingi Kuonyesha kuwa anajua Kusali ili Asifiwe.

Hivi Rais anapata wapi muda wa kufanya Mzaha, Kuchekacheka wakati Wananchi wake wako katika Janga Kubwa hivi?

Na bahati nzuri hilo Kosa lake ameliweka Yeye mwenyewe katika Ukurasa wake wa X ( zamani Twitter ) nadhani akidhani kuwa alichokifanya kilikuwa ni sahihi wakati Kiuhalisia na kwa hali iliyoko na Mazingira waliyonayo Wananchi wake hakupaswa kufanya hiki alichokifanya.

Yaani Rais Ruto kaenda Kuwafariji Wahanga wa Mafuriko badala ya kuwapa a way forward kwa Maisha yao ambayo sasa yanaenda kuwa Magumu Yeye kafika hilo eneo huku akiwa na Mzaha mwingi, Kuchekacheka Kwingi kusikokuwa na maana na akitumia muda mwingi Kuonyesha kuwa anajua Kusali ili Asifiwe.

Hivi Rais anapata wapi muda wa kufanya Mzaha, Kuchekacheka wakati Wananchi wake wako katika Janga Kubwa hivi?

Mods ikiwapendeza nitawashukuru mkiweka hapa hiyo Clip ya Rais Ruto iliyoko katika Ukurasa wake wa X ili tuijadili wote.

Asante kwa bandiko.
Lakini mpaka sasa hujasema jambo au mfano mbaya.
 
Baada ya Hapo misaada ya chakula ilifika toka serikari ya kaunti.
 
Back
Top Bottom