NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
ndugu zangu wanazuoni kutokana na hali tete ya
kupata pesa za field na kwa ukimya wa marais
wa vyuo vikuu pamoja na TAHLISO napenda
kutoa wazo ya kuwa mwezi wa kumi tukifungua
vyuo vyote Tanzania tunaomba marais wajipime
na wajiuzulu kabla ya nguvu ya umma haijaamua....Kweli hawa jamaa wameshindwa
kuitisha hata press conference na kutuma
altumatum kwa government.....NAOMBA
WANAHARAKATI WA VYUO VYOTE TUSHIRIKIANE
KUHAKIKISHA TUNAWATOA WATU
HAWA....KATIKA HILI SITARUDI NYUMA NA NIPO TAYARI KUFA NIKISIMAMIA HILI.... Naomba mnipm ili tujue tunafanyeje na
tunaorganize vp mapinduzi haya... Wenu katika harakati za ujenzi wa taifa letu...