Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
Hapo baba Mwafulani mwana asha kinamsokonyoka kiroho anatamani aende japo akapige picha na jenipher hudson
Whitney sio mtu muhimu sana Afrika Mashariki.natumai atazikwa na na wengine
Kutokana na Msiba mkubwa ulioikumba Dunia juzi usiku wa mwanamuziki maarufu na mtunzi wa nyimbo Whitney Houston
Je ni Yupi kati ya hawa unahisi ana hamu ya kwenda kwenye mazishi kuiwakilisha Afrika Masharik? Jibu na toa mifano hai kusisitiza jibu lako
A)Museven (Uganda)
B)Kikwete (Tz)
C)Kagame (Rwanda)
D)Kibaki (Kenya)
Hahaa yaani JK kwanza kishatuma fax na email kuwatakia wafiwa wawe na subira na mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu cha kumpoteza jabali la muziki wa mahabat duniani..Pili anawatakia wananchi wa marekani pole na yuko nao katika wakati huu mgumu..TATU kama sio kelele za watu angependa ahudhurie mazishi haya lakini wafiwa wasijalai atajitahidi wakati wa arobaini /4o awepo atie fatiha mbili tatu kidogo