Tanzania katika Umri huu wa Taifa letu , tu Najua Au tu nahisi kuna Baadhi ya viongozi wetu wakuu wa taifa(Maraisi)!walilazimishiwa na tume ya uchaguzi na sio waliochaguliwa na wananchi na kuna waliotangazwa na Tume na pia wananchi waliwaridhia
marais wote walichagulia na wananchi na walitangazwa na tume,,,
labda kwenye nafasi za ubunge,udiwani na serikali za mitaa ndo kuna wizi wa kura unafanyika wa kufa mtu..
marais wote walichagulia na wananchi na walitangazwa na tume,,,
labda kwenye nafasi za ubunge,udiwani na serikali za mitaa ndo kuna wizi wa kura unafanyika wa kufa mtu..
Kwanini zile computer za center for human right zilichukuliwa na Police??? Katika uchaguzi wa 2015????? Kwanini matokeo yalikuwa yanatumwa mwingine Ndio yawned tume ya uchaguzi......Kile kituo Cha Mlimani City kilikuwa Cha nini?
Ukiona anajiamini, anapenda watu wake, Hana chili......hasemi semi “ mimi Ndio Rais “ hatumii hila kutafuta sifa zisizo na tija , huyo atakuwa Rais wa Wananchi