maralia inaniua wana jf

nojo

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
90
Reaction score
10
ni ipi dawa nzuri ya maralia wana jf wenzangu?yan nahic hii yan ni clonic sana kwan mwez haupt bila kuumwa maralia,dawa ambazo nimeshajaribu sana ni metacafin,mseto na dawa moja iv inauzwa elf kumi but hola,yan ndugu zang napata hata wivu kuona wenzangu hukaa zaid ya mwaka bila kuugua maralia.naomben msaada wa ndugu ni dawa gan nzuri ya maralia...
 
Nakushauri onana na daktari ana kwa ana umpe historia ya dawa ulizotumia kipindi cha nyuma, pia jitahidi sana kutoumwa na mbu, hili linawezekana, ukifaulu hili hata dawa hutameza tena kila wakati, mi nlikuwa nasumbuliwa sana na malaria, nyumbani nliamua muda wote milango iwe imefungwa, na kupuliza dawa mara kwa mara, kwa kufanya hivi hata nzi wanakuwa nadra ndani, pia ofisin jion navyotoka siku nyingine naacha nimepuliza dawa. Tangu 2009 sijaumwa malaria, mwezi huu ndo nimeumwa. Na najua nliumwa mbu kwenye treni nikiwa safarini
 
Nenda hospital kijana usifikiri kila ukiwa na homa bnasi ni malaria wakati mwingine Hypertension, HIV, na mengine mengi nenda mwone Dr akucheki vipimo na atakuambia. By the way SP zote including metakelfin zote zilikuwa phased out since 2007 sasa kama unatumia leo nakushangaa. Any way work up use professionals for your health you will live long
 

HIV cna ndugu kwan maralia mara kwa mara ndo ilinifanya nikacheck ngoma,kwa hilo la ngoma cna plz jaribu kutoa ushaur wa dawa nz
 
Pole sana. Nenda Hospitali upate matibabu. Ila umenikumbusha Malaria Sugu aisee..
 
HIV cna ndugu kwan maralia mara kwa mara ndo ilinifanya nikacheck ngoma,kwa hilo la ngoma cna plz jaribu kutoa ushaur wa dawa nz

Ulipo ambiwa kupima Ngoma mbona kama umeogopa....?
 
Nenda hospitali pia jaribu kumeza mbegu za mlonge mimi zilinisaidia sana, sasa hv naisikia Malaria kwa watu tu.
 
tafuta alovera upande alafu uwe unautumia, au unga wa mlonge uwe unachanganya kwenye juice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…