Elections 2010 Marando amlipua Kikwete

Hii inatia moyo sana na kufurahisha!!! Mnyika mara hii lazima achukue jimbo la Ubungo kwani CCM wamemuweka weak candidate na kweli kura zikilindwa kwa mtindo wa mawakala 3 kila kituo wasiojuana, rushwa itakuwa ngumu na kijana atachukua jimbo.

Mnyika, take my words, wana Ubungo tuko nyuma yako!!!!

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…