Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana Nyamagana ambako kunatarajiwa kutokea Waziri Kijana mbadala (Wenje)
Jana nilikuwa naongea na jamaa nikawaambia itakuwa poa sana kama mbowe, au zitto mmoja wapo aende kumpa pole bwana shibuda na kuomba kura, vile vile wasisahau kwenda mwanza kufuta nyayo za mkulu, imekaa vizuri sana, akitoka huko apitie Arusha Town kupiga msumari wa mwisho.
Walisikiliza ushauri wa wengi kuwa watawanyike pembe zote za tanzania wasifuatane wote na mgombea urais kama ilivyokuwa wakati wa Mrema viongozi wote walivyokuwa wakimfuata mtu mmoja. Marando yuko kanda ya ziwa Zitto yuko kanda ya Magharibi, Zanzibar yuko mgombea mwenza, kanda ya kazikazini yuko Mwenyekiti Mbowe, Nyanda za Juu atamalizia Slaa wamesambaa tanzania nzima it is a good strategy, hata kama watu wanasema tunapiga kelele JF lakini ukiangalia on the ground ndicho kinachofanyika, ndiyo maana kuna watu wanauliza Zitto yuko wapi mbona hafuatani na Slaa.Timu ya CHADEMA iko makini sana ! Asante H
Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana Nyamagana ambako kunatarajiwa kutokea Waziri Kijana mbadala (Wenje)
Hapa Arusha, CCM iko hoi nasikia leo Salma Kiwete yuko hapa sijui atakuwa na ushawisshi kiasi gani lakini upepo uko chadema na kadri siku zinavyo karibia watu ndiyo wanazidi kuchizika na CHADEMA...Naamini tutashindaJana nilikuwa naongea na jamaa nikawaambia itakuwa poa sana kama mbowe, au zitto mmoja wapo aende kumpa pole bwana shibuda na kuomba kura, vile vile wasisahau kwenda mwanza kufuta nyayo za mkulu, imekaa vizuri sana, akitoka huko apitie Arusha Town kupiga msumari wa mwisho.
Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana Nyamagana ambako kunatarajiwa kutokea Waziri Kijana mbadala (Wenje)
Eeh Mungu,Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana Nyamagana ambako kunatarajiwa kutokea Waziri Kijana mbadala (Wenje)
Kwa hilo usiwe na wasiwasi Chadema imeweka wakala kwa kila kituo hata kama hakuna mgombea wao wa ubunge lakini kuna kura za rais pale, tunaomba kura yako na ujivunie kura yako.Angalizo CHADEMA wana mawakala sehemu ambazo hawajasimamisha wagombea ubunge. Wawe macho huko ndiko kura zinaweza kuchakachuliwa kwenye vituo.:yield: