Elections 2010 Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda

Nahiyo siku ni october 31 mpendwa, chukua maneno yangu.
 
chadema inashinda,wanajifanya wanaiba kura mwaka huu tumewashiika,hawana hamu.mawakala wengi hapa dar ni wakurya wa ukonga na wale jamaa hawana utani na mtu.
hahahaaaaaaaaaaaaaaa ndugu nibakishie mbavu zangu kidogo manake waniua kwa kicheko.
 
mwaka huu Watanzania tegemeeni mabadiliko, na ninyi mtimize wajibu wenu mkapige kura
 
Safu cha CHADEMA imetulia - Napata faraja nikiwa na wapiganaji kama ZITTO, MABERE, MNYIKA, SHIBUDA, MBOWE na Mzee wa HOJA DR. Slaa.

Shambulieni majukwaa tumalizie kazi.
 

Una akili njingi wewe!!!!!!!
 
Ninashauri wanaohusika ktk kupanga mikutano na safari za wagombea urais, ubunge, udiwani kutoka Chadema wahakikishe kwamba choperr ya DR Slaa inaakiba ya kutosha ya avigas, petrol, au dizel kwani inaelekea MAFISADI wameweka mkakati wa kuhakiksiha nchi inaklosa vitu hivyo na si ajabu mgombea fulani akakwama pahali. Tafadhali sana Profesa Baregu wahimize wahusika pote Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…