The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Naona walipoingia vyumbani kubadilisha nguo kwa ajili ya kuingia uwanjani, wanabugia machubuku ya Mbege kwanza.
Wachaga hatujawatuma Wamarangu watuwakilishe popote.. Itoshe tu kusema hiyo ni Timu ya Wamarangu na siyo ya Wachaga wote.
Mbege foot ball club..........M arangu kwetu