Hivi Michael anakula au analiwa?Sio confirmed kwamba watajwa ni mashoga. Ila rumour has it kwamba HUENDA wakawa wanajihusisha na hako katabia korofi kutokana na vitabia flani wanavyovifanya. Kwan kuna alietegemea kuwa Michael Scofield wa Prison Break anaweza kuwa punga?
Me more jamaniNgoja nikohoe kidogo "Mmhghh mmghh"
Miss You.
Sio lazima uamini. After all hawa jamaa wako kibao tu mtaani tunaishi nao. Ila ni wachache sana wenye ujasiri wa kujitangaza hadharani about this odd sexual orientation kama alivofanya Frank Ocean ama Elton JohnUongo mtupu hii thread
Mkuu na wale wanao waingilia wake/wapenzi wao kinyume na maumbile ni mashoga?Wote majiganyanza!
Ukweli ni upi mkuu?uongo mtupu...
Wote hao mgegedi na mgegeduluwaji ni masho ila kwa kiswahili tunawapambanua mgegeduliwa punga ,mngese,mweupe,mchicha mwiba ,baradhuli na mgegedua basha ,mende,mwanahisabati!Hivi gay ni anayegongwa tuu au na anayegonga???
Yaani wewe unaweza pelekwa mahakamani kujibu mashtaka!Halafu ni rahisi sana kusema flani ni shoga maana si unasema tu.
Hata mimi naweza kusema Anko Magu naye ni.......
Huhitaji ushahidi wowote ule kuweza kusema chochote kile maana mdomo ni mali yako.
Which brings me to this point;
Saying it so, doesn't make it so.
Thus, saying Young Thug is gay or Bussa Bus is gay, that, in and of itself, doesn't make them gay.
macklemore alitoa tu nyimbo ya support haki za moshoga ila yeye mwenyewe sio gay na hajaonesha dalili za kua gay...kwenye ile wimbo kuna mstari amesema " I might not be the same, but that's not important No freedom 'til we're equal, damn right I support it"Possibility ya Kuwa Bisexual ni kubwa...ila kusema Mtu kama Dre ni Homo$exual hai-make sense..
Kwenye Hii list kwanini Macklemore hayupo?
Lil wayne n birdman kuna picha na video ilitoka wana kiss ile french kiss kabisaHapana,mimi nakataa kabisa.
Hasa Dr. Dre na Lil Wayne.