Marapa 5 wanaodaiwa kuwa ni mashoga

Nikajua ni za hapa Bongo kule mbaaaaaaaaali haya na ww je??!!!
 
pia ni rahisi kusema hata mm nilisha wai sikia kwamba Jamaa Pungu, Ingawa hakuna ukweli
 


Vyanzo mbali mbali ndio vipi, mbona huvitaji?
 

Sijui na Mimi nije na listi yangu ya wa " kibongo bongo " tena ninaowajua kindakindaki.
 
hii sheria ya mtandao hii!!! dah! nawajua watatu wa kibongo bongo ila ndo hivyo tena....tena mmoja aliwahi kuniseduce tukiwa kaunta.... nilikimbia bila kuaga.
 
Yesu wangu
 
Hapana,mimi nakataa kabisa.
Hasa Dr. Dre na Lil Wayne.
Hapo kwa wayne sinaga ubishi

Kakipiga vyombo vyake kanasemaga mambo mengi na hizo ishu za kupigan mate na Birdman kaanza kitambo sana.

Inasemekan Stunna hua ana kula jicho sana yung artist

Hata huyo Yung thug
 
Yeah

Ki ukweli wasaniii wengi wa mbele ni Homo sema ujui ana anakula au kuliwa
 
true dat
 
Kumbe wanadaiwa tu na hakuna ushahidi?

Hata hivyo hizo ni technic tu za kupata kiki...kumbuka hata Eminem alishajitangaza kuwa ni Shoga, na kuna movie flan pia akisemea hivyo. Hayo yoote ni kutafuta tu attention ya watu juu yake.
 
Kuna wengine wakiona wameahuka wanatafuta skendo kama hizo ili wapande chat kwahio mtu kusema shoga au kujitangaza kua kaathirika wakati mwingine hua ni kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…