ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hey..naomba kuambiwa ni perfume/spray/unyunyu (kama ilivyozoeleka) gani ni mzuriii na unanukia safi nikipita mtaani kila mtu mpka avutiwe za kiume na za kike nazo mniambie ni wanunulie wapenzi wangu na bei zake