Marashi gani mazuri kwa matumizi

Kizzy De Wizzy perfume ni toleo jipya kabisa bei yake Bilioni 321 kwa katoni.
 
rungu spray ndo mpango mzima

daah umenikumbusha ujanani siku nlokua na promice nkatupia chupi yangu ya chadema,suruali ya turubai,t shirt ya ccm na vest ya gunia,juu nkatupia kofia ya hajatwi mtu,chini nkamalizia na yebo za njano nkajipulizia rungu ya kutosha,nkatoka na mwendo wa kunesanesa naona watu wanacheka tu nlivofika kwa huyo demu alincheka mno akantimua mbio kwa kunimwagia maji ya ukoko,sitosahau
 
Kwa wanawake - Bottega Veneta (Knot Eau De Parfum).

Kwa wanaume - Brioni (Eau de Toilet).

This second one is a killer.

Nyani Ngabu hiyo ni how much

Mie hata ya kiume napulizia mradi harufu yake imenivutia :becky:
 
Why use eau de toilete? Huwa naona kama naibiwa vile, doesnt last as long...

Kweli kabisa nilitumia eau de cartier concentree haikufikisha hata masaa 6,,,, sasa kwa hii hali ya Dar na mavumbi ya bongo ni ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…