Marasta wana siri gani?

Marasta wana siri gani?

Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Unazungumzia wenye dread rock au wale wanaonyoa vipara au hujui km rasta wana madhehebu pia?

Marehemu Baba yangu mdogo alikua rasta ndio maana nakuuliza
 
Wengi wao tamaa za kimwili haziwaendeshi ndo maana wanapendwa na wanawake wa kizungu.

Pia ni watu wasio na gubu na mtu(wale ma rasta orijino wenye itikadi ya dini ya kirasta).
 
20230831_210448.jpg
 
Watu wengi hawajui tofauti ya Rasta na dreadlocks.

Rasta ni imani wakati dreadlock ni nywele. So usijekushangaa ukakutana na rastaman mwenye kipara.
Yes my Boss ni Rasta, ila hana dreadlocks.... Kama Rasta ni imani basi ni imani nzuri sana. A very cool guy, intelligent, calm and collected.

Najifunza vingi kwake, tatizo mi napenda nyama 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom