Top Thinker
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 183
- 125
Kwa wale ambao ni wafuatiliaji wa mambo mbali mbali yanayohusiana na silaha za kibaiolojia, watakuwa wanajua ni namna gani ambavyo silaha hizi zinafanyiwa majaribio.
Nakumbuka wakati flani nilikuwa naangalia series ya 24 kile kipande cha Redemption wakati Jack Bauer yupo Africa, mliona jinsi mission iliyokuwa inafanywa na General Juma na watu wake, kuwafanyia watu majaribio kwa kuwa contaminate na virus ambao wanasababisha magonjwa ya ajabu.
Kuna tetesi kwamba hata Uganda, jambo linaloendelea ndio hilo, kwa sababu mara kwa mara kila ugonjwa wa ajabu unaosababishwa na virus wa ajabu huibuka nchini humo,
Mpaka sasa wamekufa watu zaidi ya 80 kwa ugonjwa wa Marburg.