Marc Adre Terstergen goal keeper atakayesumbua sana duniani miaka ijayo

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za muda huu wanasports wenzangu?

Kipa hapa mbele yenu kutoa views zangu kuhusu huyu goal keeper number 1 wa Barca bwana marca Andre terstegen kwa umahiri anaouonyesha sasa ni wazi kabisa atasubua sana kwa magoal keeper wenzake kufikia uwezo wake

Kwa msio mfahamu picha hiyo hapo
Inst-image-19.jpeg

Huyo ndiyo mkombozi wa sasa wa team ya ujerumani toka kuumia kwa mkongwe NEUR
anasifika kwa umahili wake wa kupiga passes kutulia katika eneo lake na kuokoa zile one against one chances

Yangu ni hayo tu wakuu
 
Top shot stopper. Huwa anaokoa mipira unayoona kabisa hili ni goli hasa zile one on one
 
Sawa! Bado hajamfikia DE GEA.
Marc Andre ter stergen ni mzuri zaidi ya de Gea Habib sababu anajua kupiga pasi kwa usahihi Gea akirudishiwa pasi anaipiga irudi ilikotoka kama kapewa mkaa wa moto vile.

Marc ni mtulivu sana golini tofauti na Gea.

Marc ni mzuri one against one tofauti na Gea.

Marc ngumu sana kumfunga magoli ya mbali.

Marc ndie golikipa anaepiga pasi nyingi uwanjani kumzidi Pogba.
 
Duuh pasi kumzidi Pogba
 
Habari za muda huu wanasports wenzangu?

Kipa hapa mbele yenu kutoa views zangu kuhusu huyu goal keeper number 1 wa Barca bwana marca Andre terstegen kwa umahiri anaouonyesha sasa ni wazi kabisa atasubua sana kwa magoal keeper wenzake kufikia uwezo wake

Kwa msio mfahamu picha hiyo hapoView attachment 724047
Huyo ndiyo mkombozi wa sasa wa team ya ujerumani toka kuumia kwa mkongwe NEUR
anasifika kwa umahili wake wa kupiga passes kutulia katika eneo lake na kuokoa zile one against one chances

Yangu ni hayo tu wakuu
Hamkaribii hata kidogo Jan oblak
 
Marc Andre ter stergen ni mzuri zaidi ya de Gea Habib sababu anajua kupiga pasi kwa usahihi Gea akirudishiwa pasi anaipiga irudi ilikotoka kama kapewa mkaa wa moto vile.

Marc ni mtulivu sana golini tofauti na Gea.

Marc ni mzuri one against one tofauti na Gea.

Marc ngumu sana kumfunga magoli ya mbali.

Marc ndie golikipa anaepiga pasi nyingi uwanjani kumzidi Pogba.
Hujakosea mkuu uko sahihi
 
Huyu n goalkeeper mzur Sana kuwah kutokea ktk kipind hik Ni zaid Ya DE gea ingawa Mm n man u
 
Yuko vizuri sana hasa kwenye one on one bila kusahau uwezo wake wa kupiga pasi
 
Marc Andre ter stergen ni mzuri zaidi ya de Gea Habib sababu anajua kupiga pasi kwa usahihi Gea akirudishiwa pasi anaipiga irudi ilikotoka kama kapewa mkaa wa moto vile.

Marc ni mtulivu sana golini tofauti na Gea.

Marc ni mzuri one against one tofauti na Gea.

Marc ngumu sana kumfunga magoli ya mbali.

Marc ndie golikipa anaepiga pasi nyingi uwanjani kumzidi Pogba.
Balimi imekolea kwa kichwa.
 
Wewe jamaa ushaki wako na atletico
😀😀😀😀 ila kwani uongo?? Oblak kafungwa goli 10 tu msimu mzima achilia mbali kaokoa michomo mingi ya on target kuliko huyo ter stegen...... Je unaanzaje kusema kipa bora bila kumtaja Jaaaaaan oblak
 
Back
Top Bottom