Marc Andre ter stergen ni mzuri zaidi ya de Gea Habib sababu anajua kupiga pasi kwa usahihi Gea akirudishiwa pasi anaipiga irudi ilikotoka kama kapewa mkaa wa moto vile.Sawa! Bado hajamfikia DE GEA.
Duuh pasi kumzidi PogbaMarc Andre ter stergen ni mzuri zaidi ya de Gea Habib sababu anajua kupiga pasi kwa usahihi Gea akirudishiwa pasi anaipiga irudi ilikotoka kama kapewa mkaa wa moto vile.
Marc ni mtulivu sana golini tofauti na Gea.
Marc ni mzuri one against one tofauti na Gea.
Marc ngumu sana kumfunga magoli ya mbali.
Marc ndie golikipa anaepiga pasi nyingi uwanjani kumzidi Pogba.
Hamkaribii hata kidogo Jan oblakHabari za muda huu wanasports wenzangu?
Kipa hapa mbele yenu kutoa views zangu kuhusu huyu goal keeper number 1 wa Barca bwana marca Andre terstegen kwa umahiri anaouonyesha sasa ni wazi kabisa atasubua sana kwa magoal keeper wenzake kufikia uwezo wake
Kwa msio mfahamu picha hiyo hapoView attachment 724047
Huyo ndiyo mkombozi wa sasa wa team ya ujerumani toka kuumia kwa mkongwe NEUR
anasifika kwa umahili wake wa kupiga passes kutulia katika eneo lake na kuokoa zile one against one chances
Yangu ni hayo tu wakuu
Ongeza Jens Lehman.Ujerumani wana historia ya kuwa na magolikipa wazuri zama hzi za karibuni
Oliver Khan
Manuel Neur
Roman Weidenfeller
Marc Andre Terstergen
Hujakosea mkuu uko sahihiMarc Andre ter stergen ni mzuri zaidi ya de Gea Habib sababu anajua kupiga pasi kwa usahihi Gea akirudishiwa pasi anaipiga irudi ilikotoka kama kapewa mkaa wa moto vile.
Marc ni mtulivu sana golini tofauti na Gea.
Marc ni mzuri one against one tofauti na Gea.
Marc ngumu sana kumfunga magoli ya mbali.
Marc ndie golikipa anaepiga pasi nyingi uwanjani kumzidi Pogba.
Balimi imekolea kwa kichwa.Marc Andre ter stergen ni mzuri zaidi ya de Gea Habib sababu anajua kupiga pasi kwa usahihi Gea akirudishiwa pasi anaipiga irudi ilikotoka kama kapewa mkaa wa moto vile.
Marc ni mtulivu sana golini tofauti na Gea.
Marc ni mzuri one against one tofauti na Gea.
Marc ngumu sana kumfunga magoli ya mbali.
Marc ndie golikipa anaepiga pasi nyingi uwanjani kumzidi Pogba.
ππππ ila kwani uongo?? Oblak kafungwa goli 10 tu msimu mzima achilia mbali kaokoa michomo mingi ya on target kuliko huyo ter stegen...... Je unaanzaje kusema kipa bora bila kumtaja Jaaaaaan oblakWewe jamaa ushaki wako na atletico