Marc Adre Terstergen goal keeper atakayesumbua sana duniani miaka ijayo

Shabiki wa Liverpool wewe
 
Shabiki wa Liverpool wewe
 
Huyu n goalkeeper mzur Sana kuwah kutokea ktk kipind hik Ni zaid Ya DE gea ingawa Mm n man u
Makipa wanaokuwa barca huwezi wajua ubovu wao mpaka waondoke barca.Team inamiliki mpira kila muda so kipa hana stress.De gea amethibitisha ubora wake kwa kuwa yuko utd na amefanya makubwa ingawa team lake bovu
 
Usikalili maisha brother goal keeper wa Bayer mbona ni bora wakati team yake inamiliki mpira?

Terstergen sio wa kumu underrate kwa hoja za kipuuzi ivyo sababu anafanya vizuri hata akiwa na team ya taifa ya ujerumani
 
Mkuu ulicho changia kinaendana na topic au stress za maisha zinakuchanganya?
You know what I mean....

Barca wants to replace ter na Alison.... Liverpool wanted Alison
Unajipiga kadansee tu

If ter is that good, is Barca watake kumuuza?
 
You know what I mean....

Barca wants to replace ter na Alison.... Liverpool wanted Alison
Unajipiga kadansee tu

If ter is that good, is Barca watake kumuuza?
Duh! Leta source ya hiyo news yako barca hawataki goal keeper mwingine wanaomtaka Alison ni Madrid kumreplace navas

Acha kuongea vitu vinavyokuijia ndotoni
 
Ivi we jamaa wa ajabu sana, ivi unajua kazi ya kipa lakini? Ivi umewai sikia watu wana gombea kumsaini kipa kwaajiili ya pasi? Kazi kubwa na yamsingi ambayo itampa kila tunzo si kudaka wala kupiga pasinyingi. Kaziya kipa nikuzuia mpira usii ingie golini kwanamna yoyote ile. Ayo ya kupiga Pasi nyingi ni mbwembwe tu.
 
You know what I mean....

Barca wants to replace ter na Alison.... Liverpool wanted Alison
Unajipiga kadansee tu

If ter is that good, is Barca watake kumuuza?
Barca ain't planing to sell Mac Andre, not even in the near future!

Sijui umeokota wapi hizo fake news!
 
Ndyo nimewahi msikia guadiora anataka goal keeper wa type hiyo kwaiyo acha uzwazwa
 
Neur kaumia lini na atarudi lini golini mkuu?
 
Word
 
Ndyo nimewahi msikia guadiora anataka goal keeper wa type hiyo kwaiyo acha uzwazwa
Pep alimsajili Bravo kisa anapiga pasi alivyokuja England alifungwa pamoja na kupiga hizo pasi ikabidi amnunue Ederson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…