Marc Adre Terstergen goal keeper atakayesumbua sana duniani miaka ijayo

Ni kweli, aje EPL tuone kama anaweza kuwa bora zaidi
Nadhani wewe ni shabiki wa Man U na unampigia chapuo De Gea. And of course, De Gea ni booonge la kipa EPL.

Ila, EPL sio kwamba ndio ligi bora sana Duniani, bali kikwetu kwetu ndio ligi tuliyoizoea sn machoni mwetu. Na hakiwezi kuwa KIGEZO NAMBA MOJA cha kupima ubora wa makipa duniani. Nadhani kuchaguliwa tu timu ya taifa na kwenda World Cup, ni moja ya kigezo cha kupima ubora wa mchezaji, and not EPL.

Anaweza kweli asiwe bora akiwa EPL, na akawa bora akiwa BUNDESLIGA. Au asiwe bora kwenye timu moja, na akawa bora kwny timu nyngn. INATOKEA...!!! Na hata Sanchez wa Arsenal, sio Sanchez wa Man U. Hata leo Man U wakimuuza Pogba nadhan hawatapata hata NUSU ya dau walilomnunulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…