Marc Casado upcoming best midfrider

Marc Casado upcoming best midfrider

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
1729674555844.png

Wazee tunaoangalia Mpira Kuna kipaji kipya hapo Barca hakiimbwi sana ila ni shughuli balaa jamaa anaitwa MARC CASEDO

Tujiandae kumpa jicho leo mechi na Bayern Munich, Very very talented
 
Bonge moja la fundi, dogo anajua halafu anajua tenaa
 
Back
Top Bottom